Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

1. Maisha ya kwenye Ndoto ukiwa umesinzia si halisi,ila utagundua si halisi pale utakapo zinduka kutoka usingizini.Ndoto ni Illusional..unadanganywa.

2. Video games kama zile za FIFA,GTA n.k wahusika wa kwenye zile games mfano unacheza PS5 kuna muda wachezaji wanalalamika,wanaumia,wanahuzunika na Kushangilia ila hawajui kwamba kila wanachokifanya ni Program,wao ni program ya computer inayo chezeshwa na binadamu.

3. Kwa Kuzingatia 1 na 2 hapo juu nashawishika kwamba hata sisi binadamu na viumbe wengine kwenye huu ulimwengu Tunaishi maisha yasiyo na uhalisia..tunaishi maisha danganyifu kama wale wachezaji wa kwenye PS au yale maisha ya ndoto.

4. Kila tunachokiona sio halisi(illusional) na maisha yote ni kama simulation za games..Sisi tupo kwenye Program inayoendeshwa na aliyeiunda.Maisha yetu ni program ndio maana hayaeleweki.

5. Tunazaliwa Then Tunakufa bila kujua hata lengo la kuwepo duniani ni lipi(achana na falsafa za dini).Magonjwa,Vita na kila uharibifu unaofanyika ni sehemu ya simulation za mcheza game..

6. Mwisho wa haya maisha ni pale anayetuchezesha Game Akiacha kucheza au akashindwa kuendesha program yake vizuri. #Ongeza na wewe
7.
8.
Hii kitu hata mimi nilishaiwaza sana
 
Ukitumia hoja yake ya 1 na 2 kama kueleleza kielelezo cha maisha yetu ndugu itakuwa umepotea sana!, vipo vitu vingi sana tunatofautiana na huo ulimwengu unaojaribu kuulezea!. ni ulimwengu usiokuwa na hisia na si halisia!. maisha yetu halisi yamegubikwa na kanuni zake ambazo ukizivunja utavunjika ama zitakudhuru moja kwa moja!.. mfano katuni kwenye game hawezi kula na wala sio shida zake na wala hapambanii kuishi!!.
Kiufupi niseme umetumia mfano mbaya sana katika kuangalia uhalisia wetu!.

Kutoyaelewa maisha haimanishi ya kwamba tupo program vilevile kuyaelewa maisha haimanishi tuwe au tusiwe kwenye program!.
yani kuwa program ama kutokuwa yote yanawezekana!, sema bado hatuna majibu ndio tunaweza kuchagua jibu lolote ila sio kwamba jibu halipo ni vile hatujalivumbua tu!.

Nadharia yako ya kuwa tunachezeshwa unaweza kuithibitisha ama unafuata hisia zako ktk kuwaza tu..?
Utakuwa hujamuelewa huyu mwamba kiundani zaidi.
 
Haya tunayoita "mafanikio" ni pale mtu anapokuwa na vitu dhidi ya wengine ,hapo anajiona amefanikiwa..Mtu akifaulu sana kuzidi wengine kwenye mtihani basi anaitwa amefanikiwa ,akiwa na pesa kuliko wengine vivyo hivyo...Ikitikea mashindani ,mtu akishinda anjiona ana mafanikio.

Kiufupi ,hakuna uhalisia mafanikio yanategemea na wengine kuanguka au kuwa chini yetu...Ebu tujiulize ,mawazo ya mgonjwa aliyekuwa mahututi ni yapi ? Anafikiria zaidi mafanikio ya duniani kama yale anayofuatilia kila siku au anafikiria zaidi kuhusu hatma ya afya yake?

Kuna muda ,utaona mambo ya duniani hayana uhalisia ila tulipanga sisi tuishi vipi.
Ubarikiwe sana ndo maana huwa sipendi stress sijui hata natafuta nini Duniani na ninaangaikia kitu gani na dhumuni langu la kuishi ni nini?
 
Haya tunayoita "mafanikio" ni pale mtu anapokuwa na vitu dhidi ya wengine ,hapo anajiona amefanikiwa..Mtu akifaulu sana kuzidi wengine kwenye mtihani basi anaitwa amefanikiwa ,akiwa na pesa kuliko wengine vivyo hivyo...Ikitikea mashindani ,mtu akishinda anjiona ana mafanikio.

Kiufupi ,hakuna uhalisia mafanikio yanategemea na wengine kuanguka
Jamii imejenga mfumo wa mafanikio ambao unahitaji “wengine wawe chini” Lakini maisha yenyewe hayalazimishi hilo.
 
Maisha yanakuwa mepesi kidogo ukiacha kuyachukulia kama mashindano ya kila siku.
 
1. Maisha ya kwenye Ndoto ukiwa umesinzia si halisi,ila utagundua si halisi pale utakapo zinduka kutoka usingizini.Ndoto ni Illusional..unadanganywa.

2. Video games kama zile za FIFA,GTA n.k wahusika wa kwenye zile games mfano unacheza PS5 kuna muda wachezaji wanalalamika,wanaumia,wanahuzunika na Kushangilia ila hawajui kwamba kila wanachokifanya ni Program,wao ni program ya computer inayo chezeshwa na binadamu.

3. Kwa Kuzingatia 1 na 2 hapo juu nashawishika kwamba hata sisi binadamu na viumbe wengine kwenye huu ulimwengu Tunaishi maisha yasiyo na uhalisia..tunaishi maisha danganyifu kama wale wachezaji wa kwenye PS au yale maisha ya ndoto.

4. Kila tunachokiona sio halisi(illusional) na maisha yote ni kama simulation za games..Sisi tupo kwenye Program inayoendeshwa na aliyeiunda.Maisha yetu ni program ndio maana hayaeleweki.

5. Tunazaliwa Then Tunakufa bila kujua hata lengo la kuwepo duniani ni lipi(achana na falsafa za dini).Magonjwa,Vita na kila uharibifu unaofanyika ni sehemu ya simulation za mcheza game..

6. Mwisho wa haya maisha ni pale anayetuchezesha Game Akiacha kucheza au akashindwa kuendesha program yake vizuri. #Ongeza na wewe
7.
8.

Kama umefika hapa basi umebakiza hatua chache kuyaelewa maisha.

Wala usikompliketishe maisha yanamfumo wakujiweka Sawa yenyewe. Nakujiharibu
 
Ukielewa haya mambo wala hupati taabu na usijue kwanini upo hapa Duniani.
Quran tukufu imeshaweka wazi ila ni sisi tu kujizonga na kujitoa akili

Qur’an inatufundisha:

1:Tumeumbwa kumuabudu Allah Mungu muumbaji:
Surah Adh-Dhariyat (51:56)
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
👉 “Sikuwakuumba majini na wanadamu ila waniabudu Mimi.”

2:
Dunia ni chumba cha mitihani,ni ya muda, si ya kudumu:

Surah Al-Hadid (57:20)
اعْلَمُوا أَنَّمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا لَعِبٌ وَلَهْوٌ...
👉 “Jueni kuwa maisha ya dunia ni mchezo, starehe, pambo…”

Surah Al-Ankabut (29:64)
وَمَا هَٰذِهِ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَهْوٌ وَلَعِبٌ
👉 “Na maisha haya ya dunia si chochote ila ni mchezo na upuuzi…”

3:Akhera ndiyo lengo kuu la maisha ya kweli:
Surah Al-A'la (87:16–17)
بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا
وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ
👉 “Lakini mnachagua maisha ya dunia, na Akhera ni bora na ya kudumu zaidi.”

Surah Al-Qasas (28:77)
وَابْتَغِ فِيمَا آتَاكَ اللَّهُ الدَّارَ الْآخِرَةَ
👉 “Tafuta kwa yale aliyokupa Allah,(upate) nyumba ya Akhera…”
 
Ukitumia hoja yake ya 1 na 2 kama kueleleza kielelezo cha maisha yetu ndugu itakuwa umepotea sana!, vipo vitu vingi sana tunatofautiana na huo ulimwengu unaojaribu kuulezea!. ni ulimwengu usiokuwa na hisia na si halisia!. maisha yetu halisi yamegubikwa na kanuni zake ambazo ukizivunja utavunjika ama zitakudhuru moja kwa moja!.. mfano katuni kwenye game hawezi kula na wala sio shida zake na wala hapambanii kuishi!!.
Kiufupi niseme umetumia mfano mbaya sana katika kuangalia uhalisia wetu!.

Kutoyaelewa maisha haimanishi ya kwamba tupo program vilevile kuyaelewa maisha haimanishi tuwe au tusiwe kwenye program!.
yani kuwa program ama kutokuwa yote yanawezekana!, sema bado hatuna majibu ndio tunaweza kuchagua jibu lolote ila sio kwamba jibu halipo ni vile hatujalivumbua tu!.

Nadharia yako ya kuwa tunachezeshwa unaweza kuithibitisha ama unafuata hisia zako ktk kuwaza tu..?
"Kuwa programmed ama kutokuwa yote yanawezekana " hapa ndipo mkanganyiko wa kuyaelewa maisha unapokuja kwa kuwa hatuna jibu moja lenye kuthibitika
 
Je unafilkiri nini suluhisho la hayo yote!? Nini kifanyike ili tuishi uhalisia timamu
 
wachache watakuelewa

tupo katika matrix kuchomoka ni ngumu
Unataka uchomoke uende wapi mkuu?

Umeandika as if kuna sehemu tulitakiwa kuwepo lakini hatupo huko tumechomekwa ambapo hatuwrezi kuchomoka na kurudi tulipotakiwa kuwa.
 
kwa mayu
 
"Kuwa programmed ama kutokuwa yote yanawezekana " hapa ndipo mkanganyiko wa kuyaelewa maisha unapokuja kwa kuwa hatuna jibu moja lenye kuthibitika
Ukisha zaliwa maisha haya maana yoyote zaidi ya struggle to survive na ukifikia maturity nature inakusukuma kufanya reproduction ili kiumbe binadamu aendelee kuwepo kwenye uso wa Dunia

Linapokuja swala la maana ya maisha basi viumbe wote tuna maana moja……. Cycle ni Zaliwa-Pambana kubaki hai-Zaa-kisha Kufa
Hii cycle ikisimama tu viumbe wote watatoweka duniani.
Yaani wewe na samaki, njiwa, Simba, Dubu nk nk hatuna tofauti yeyote

Tofauti yetu ni uwezo wetu wa kukabiliana na mazingira ambayo yanampa favor binadamu kwasababu ana inteligensia kubwa…… na ndio maana tunahangaika kuyapa maisha maana mpya
 
📌
 
hakuna illusionary (udanganyifu), kila kitu ni halisi katika mtazamo wa kitu chenyewe. hakuna anaetuchezesha ila ni ufahamu wenyewe unaojichezesha. kwa macho ya kawaida inaonekana kua sisi tupo, ila kiuhalisia hatupo na hata ulimwengu wenyewe haupo ila ni ufahamu unaojionyesha katika miili tofauti na hii ni kwa sababu kitu pekee ambacho kinaweza kua, ni ufahamu tu
Ufahamu upo wapi
 
Back
Top Bottom