kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,341
- 6,495
Tabia zao zimewahukumu na wapinzani wao ndani ya chama wamepata pakuwakamatia, kisiasa wamedrop.Kwahiyo wamekomolewa?
Tabia zao zimewahukumu na wapinzani wao ndani ya chama wamepata pakuwakamatia, kisiasa wamedrop.Kwahiyo wamekomolewa?
Mkuu makonda shkamooMasikini ni watu wapumbavu sana mkuu!
Fikiria mleta mada anawazodoa Polepole, Bashiru na Makonda?
Hao wako kwenye mrija wa fedha, ila kwa upumbavu wa mleta mada ana hisi wanashindia dagaa kama ilivyo familia na ukoo wake.
Bashiru na Polepole ni wabunge!Tabia zao zimewahukumu na wapinzani wao ndani ya chama wamepata pakuwakamatia, kisiasa wamedrop.
Ubunge wa huruma! Kutoka kuwa katibu mkuu Ikulu hadi kuwa mbunge ni sawa? Katibu mkuu wa chama dola hadi kuwa mbunge viti maalum ni sawa? Madoido yote yale aliyokuwa nayo Makonda akiwa RC na sifa zote alizokuwa akipewa, wajumbe walimkata na mamlaka za uteuzi zinaona hafai, unaona ni sahihi? Mpka kukawa na mijadala humu eti Makonda for Presidency 2025.Bashiru na Polepole ni wabunge!
Makonda aligombea ubunge akashindwa,
Hebu niambie wamedrop vip?
wakikujibu hii unitagMko wapi Mataga na sukuma gang! Mlizoea kuishi kwa posho ya buku 7 kwa siku, leo hii mnaishi kwa tozo kama sisi!
Aisee...Ubunge wa huruma! Kutoka kuwa katibu mkuu Ikulu hadi kuwa mbunge ni sawa? Katibu mkuu wa chama dola hadi kuwa mbunge viti maalum ni sawa? Madoido yote yale aliyokuwa nayo Makonda akiwa RC na sifa zote alizokuwa akipewa, wajumbe walimkata na mamlaka za uteuzi zinaona hafai, unaona ni sahihi? Mpka kukawa na mijadala humu eti Makonda for Presidency 2025.
Dahaaa, Umeshinda. Wacha Kazi iendeleeeeeee.......Aisee...
Bashiru akiwa katibu mkuu ulikuwa ukatibu mkuu wa milele?
Kuwa katibu wa chama ni wa milele?
Mbona basi huongelei kina Mbowe, Lema, Msigwa na wengineo waliopigwa chini kwenye ubunge?