Hakika hawa jamaa ni talented kwa upande wa utangaji, kuna presenters wana uwezo mkubwa ila hawapati makubwa kulingana na uwezo wao.
Huyu jamaa nilitamani sana nimuone kwenye media kubwa zaidi ya EA RADIO/TV, naona linaenda kutimia.
Je we unahisi atakua anaelekea Media gani... Kwa ubashiri maana hizi media zinanyanganyana sana watangazaji
 
Dakika 10 za maangamizi inazidi kupoteza ule mvuto

Kipindi wapo dullah, fifi na Jr ilikua Moto Sana
Msanii anapewa vibe la kutosha kipindi kilikua lit

Fifi na Jr wakaaga

Now dullah ndio huyoooo....
Generation ya watangazaji wapya kidogo imepwaya... hawazalishwi watangazaji wenye upekee
 
Keshatengeneza jina kubwa, sio aende kwenye media za mitaa ya jiji la dar, viredio na vitivii vya uchochoroni. Anatakiwa aibukie kwenye media kubwa yenye wasikilizaji/watazamaji wengi nchini. Aka lounch kipindi kingine kikali zaidi ya planet bongo. Media kama ITV, Clouds, channel ten na star tv zinamfaa na sio wasafi na emf hizo ni media ndogo sana na hazina watazamaji/wasikilizaji wengi nchi nzima
Star TV haichukuwagi watu wa Media nyingine... Star TV mara nyingi yenyewe ndio inazalisha watangazaji na kisha wanaondoka kwenda media nyingine...
 
FNL haijawahi kuwa kama ya Sam...
View attachment 2771149
Itakuwa umeanza kuiangalia baadae sana, hakuna FNL kama kipindi yupo Sebo jamaa aliiendesha vizuri sana

Ile ndio ilikuwa FNL, ilikuwa inafanyika studio ya redio kuanzia saa 5 mpaka 7 usiku, kabla ya hii studio kubwa ya sasa

sema Sam alikuja kuziba gape vizuri sana
 
Mkali huyu alibamba zaidi kwenye vipindi vya radio hiyo fnl nazani ilikufa baada ya sam misago kuondoka mpaka leo hawakuweza kuziba gap la sam misago
Lakini Dullah Planet hapa kati alirudi FNL, na kipindi kilichangamka, wakamuongeza jamaa mmoja akawa anatengeneza Cocktail anaitwa Ibiza Boy kipindi kikaanza kuwa maarifu lakini kwa bahati mbaya Ibiza Boy akafariki kwa ajali, lakini Bado Dullah Planet akaendelea nacho akiwa na jamaa mmoja hivi mfupi anaitwa Bilisepenga mpaka Dullah anaaga East Africa kipindi kilikuwa kinaeleweka
 
Lakini Dullah Planet hapa kati alirudi FNL, na kipindi kilichangamka, wakamuongeza jamaa mmoja akawa anatengeneza Cocktail anaitwa Ibiza Boy kipindi kikaanza kuwa maarifu lakini kwa bahati mbaya Ibiza Boy akafariki kwa ajali, lakini Bado Dullah Planet akaendelea nacho akiwa na jamaa mmoja hivi mfupi anaitwa Bilisepenga mpaka Dullah anaaga East Africa kipindi kilikuwa kinaeleweka
FNL ilibamba kipindi yupo sam huyo chawa billsepenga ndio alikuja kuharibu anamaswali ya kiudaku udaku muda wote kalewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom