Yupo Efm kiongozi, Ea radio kwenye talent retention nawapa 0kuna kijana mja alikua anaitwa KING SMASH KIPINDI CHA THE CRUZZ alijitaidi sana kukindesha hasa wakati anasoma sms ilikua ni burudani kwa kweli hivi sasa naona wanapiga kelele tuh kipindi cha michezo ndio wanakiendesha uzuri kwa sasa