Duka linalouza Professional Camera jijini Mwanza

Duka linalouza Professional Camera jijini Mwanza

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,002
Kwa wakazi wa Mwanza au yeyote mwenye ufahamu wa jiji hilo, naomba kujulishwa mahali lilipo duka ninapoweza kununua Professional camera aina ya Nikon D3200.
 
Nenda maduka ya mwanza hotel zipo utapata
 
mwanzahotel safi sana.nyongeza nenda maduka ya nyerer road kuanzia Semira electronics. kwenda juu upande wa kushoto kama unatokea mataa
 
Kwani iko bei gani brand new.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom