Duka gani naweza kupata Samsung S8 Dar?

Acha uongo wewe! Hiyo simu bado haijaingia sokoni

habari za display kuzingua umezipata wapi tena boss mbona unanishtua

Mkuu acha kupotosha umma. S8 haina tatizo la rangi na ni sibu bora sana na imekaa vizur im design kuliko samsung zote nilizowah kuwa nazo. Huwezi kuicompare na iphone 7.
Nimejaribu kuweka picha ila zinakataa lakini sio sawa kumkatalia aliyesema issue ya display. Samsung nao wamekiri japo wamesema linaweza kurekebishwa na mtumiaji mwenyewe kwenye settings kama ukikumbana na adha hiyo..!!
Source

Zdnet & Engadget

Early Galaxy S8 owners complain of red-tinted screens
 
Tengeneza simu yako na OS yako uwe free utakacho usidhani Nougat ipo free kama hizi jelybean, kitkat, lolipop ama marshmallow kwa mbali watu walioanza kucheza na android zikiwa version za Jellybean, kitkat na lolipop kidogo walifaidi sana
sasa hivi kuna error nyingi sana kuchokonoa simu watu wengi wameacha
Iphone mm czielewagi kabisa
 
Jamani Samsung S8 ishafika kweli bongo maana nmehangaika sana kuitafuta madukani nimeenda nakuta zimejaa s7 na s7 edge Tu!!" Anaejua wapi niende duka ambalo nikienda ntapata kwa Dar es Salaam.
Bado. Si walisema wanaanza kuuza tar 21 april...so labda bada ya one week kutoka 21 ndo zinaweza kufika huku
 
hiyo simu bado haijafika bongo hadi mwezi wa tano/sita

pia hiyo simu imeshaannza kuzingua display inajikoleza rangi nyekundu na ndio maana wateja wake huko korea wameshaanza kuzirudisha madukani,note 7 ilikuwa inalipuka ikazuiwa isiuzwe duniani.ebu subiri kwanza simu zenye akiliii kama nokia 9 na iphone 8 zitoke ndipo ufanye chaguzi
Acha izo ww km huna uwezo wa kununua s8 vunga.
Nenda youtube kuna reviews kibao wanasema ni simu nzuri sana...
Sema battery ndogo 3000mah ingetakiwa iwe above that
 
Mkuu acha kupotosha umma. S8 haina tatizo la rangi na ni sibu bora sana na imekaa vizur im design kuliko samsung zote nilizowah kuwa nazo. Huwezi kuicompare na iphone 7.
Ongea ww mkuu. Km ni mtu ni mpnz wa simu...s8 ndo simu.
Sema cjapenda hawajaupgrade battery iwe kubwa ila hiyo sio sababu ya kutoinunua
 
Ongea ww mkuu. Km ni mtu ni mpnz wa simu...s8 ndo simu.
Sema cjapenda hawajaupgrade battery iwe kubwa ila hiyo sio sababu ya kutoinunua

Kuna watu huwa mnabisha tuu hata kama ni ukweli..!! Hebu pitia hii link hapa upunguze ubishi kama ni lugha inasumbua nijulishe nikuwekee kwa kiswahili.

5dd1709dfc3cea9b7f244cd90e077960.jpg



2ff30843c8cd7af298af94307826c529.jpg


Samsung promises update to rid the Galaxy S8 of its red screen issue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom