Duka gani naweza kupata Samsung S8 Dar?

Unaambiwa ukweli unamind. Kama huna uwezo wa S8 kuna tekno na itel kwa ajili ya watu km nyie



Asante mkuu,
Mana anaona mtu anafurahia kuuza kitu chake cha thamani wakati anajua kupata kama iyo tena itachukua muda.
Iyo simu nilipata hela za mkupuo ndo nikanunua wakati ndo kwanza zimetoka...
Sasa hivi sina kitu nimeona niuze tu maana haimake sense kwangu kua sina ela alafu nina simu ya milioni na pointi.
 
ustaarabu ni kitu kizuri sana mkuu msamehe mwenyewe nilishamuona mwandiko unasadiki umri, umri unasadiki preferences simu kwake ndiyo kila kitu
Jf kila mtu anatafuta kivuli chake

Nilimuacha maana nilitambua ni vigumu kuufuta ujinga kwenye kichwa cha mtu ambaye hajajitambua kwamba ni mjinga.
 
Tengeneza simu yako na OS yako uwe free utakacho usidhani Nougat ipo free kama hizi jelybean, kitkat, lolipop ama marshmallow kwa mbali watu walioanza kucheza na android zikiwa version za Jellybean, kitkat na lolipop kidogo walifaidi sana
sasa hivi kuna error nyingi sana kuchokonoa simu watu wengi wameacha
Ukchknoa tcra wanapiga
 
Yan wanaume wa dar bhana sijui wakoje,,yan wameishia kuchambana tu,,kutambiana mara huyu anamilik S7 mwngine cjui tekno,,sasa hayo yanatoka wap inabidi mods waweke jukwaa la mipasho,,haya mambo yanakera sana,,matokeo yake unakuta hata mwenye huu uzi hajapata anachokitaka,,mbona sisi wa mikoan hatupo hivyo,,mtu akijibu vibaya naachana nae najua hapo ndio mwish wa kufikiria kwake
 
Nenda mtaa wa samora city center kuna duka linaitwa Sapna[/au Ndani mule hayyat hotel "Kilimanjaro hotel" kuna duka la simu mule na simu zake original huwezi ukakosa mkuu]
 
Ongea ww mkuu. Km ni mtu ni mpnz wa simu...s8 ndo simu.
Sema cjapenda hawajaupgrade battery iwe kubwa ila hiyo sio sababu ya kutoinunua
Mkuu ukubea wa battery wakat mwingine usikupe shida. Ukaaji wa chaj unakuwa optimized na teknolojia iliyopo kwenye simu. S8 na s8 plus processor yake inatumia energy ndogo na performance yake ni kubwa. Ukiicompare na s7 edge yenye 3500 zinakaribiana ukaaj wake wa chaji.
 
Mkuu ukubea wa battery wakat mwingine usikupe shida. Ukaaji wa chaj unakuwa optimized na teknolojia iliyopo kwenye simu. S8 na s8 plus processor yake inatumia energy ndogo na performance yake ni kubwa. Ukiicompare na s7 edge yenye 3500 zinakaribiana ukaaj wake wa chaji.
Naelewa hata s7 ina optimization ua battery... lakin hatukutegemea 3000mah kwa s8...tulitegemea zaidi.
Ni kama vile wanasema wingi wa pixels sio ubora wa camera lakini tulitegemea zaidi ya 12mp ...
Ndo maana halisi ya upgrade.
Japo hizo sio sababu za kutoinunua simu iyo...bado ni nzuri sana....ila tulitegemea more than that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom