Duh! Wapinzani wake wote wamegonga mwamba!

Aisee....nimekuja mbio kwa fahari kumsifia Mama Samia kwa kuwashinda wapinzani..........nakutana na maandiko!
Hata hivyo unapaswa kumshukuru Mama, bila yeye Tanzania isingekuwa hivi usingepata hata Internet.

Mama mitano tena ya shukrani.😎😎
 
Setfree, unachofanya hapa kinaitwa circular reasoning fallacy unatumia biblia kuthibitisha kuwa Biblia ni ya kweli. Ukimwuliza Muislam au Muhindu, naye atakusomea aya zake kutoka kwenye Quran au Vedas na kukuambia kitabu chake ndio cha ukweli na vingine vyote ni vya uongo. Kunukuu Yohana 14:6 au Yohana 3:18 hakuthibitishi kuwa maandiko hayo ni ukwl wa kiulimwengu, inathibitisha tu kile Ukristo unachoamini.

Vilevile, unasema ushahidi ni kifo na ufufuo wa Yesu. Aya bhana hata ivyo, taarifa za ufufuo huo zinatoka tu kwenye vitabu vilivyoandikwa na waumini wenyewe wa Ukristo miaka mingi baada ya matukio hayo. Ukija kwenye mtazamo wa kihistoria na kisayansi, simulizi za kwenye vitabu vya dini hazitoshi kuwa ushahidi wa kithibitisho.

Unajua kuna maelfu ya hadithi za miujiza kwenye dini zingine pia je, unaziamini hizo kwa sababu tu zimeandikwa kwenye vitabu vyao au? (Tutumie basi logic kidogo tuache janjajanja za kutaka kufinalize mambo kirahisi?

Setfree huoni hapa kabisa. Ukishaona logic unakimbia 🏃
 
“Ee Bwana, Mfalme wetu, jina lako ni tukufu duniani mwote!” (Zaburi 8:1)

“Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako.” (1 Mambo ya Nyakati 29:11)
Amina
 
Setfree, unachofanya hapa kinaitwa circular reasoning fallacy unatumia biblia kuthibitisha kuwa Biblia ni ya kweli. Ukimwuliza Muislam au Muhindu, naye atakusomea aya zake kutoka kwenye Quran au Vedas na kukuambia kitabu chake ndio cha ukweli na vingine vyote ni vya uongo. Kunukuu Yohana 14:6 au Yohana 3:18 hakuthibitishi kuwa maandiko hayo ni ukwl wa kiulimwengu, inathibitisha tu kile Ukristo unachoamini.

Vilevile, unasema ushahidi ni kifo na ufufuo wa Yesu. Aya bhana hata ivyo, taarifa za ufufuo huo zinatoka tu kwenye vitabu vilivyoandikwa na waumini wenyewe wa Ukristo miaka mingi baada ya matukio hayo. Ukija kwenye mtazamo wa kihistoria na kisayansi, simulizi za kwenye vitabu vya dini hazitoshi kuwa ushahidi wa kithibitisho.

Unajua kuna maelfu ya hadithi za miujiza kwenye dini zingine pia je, unaziamini hizo kwa sababu tu zimeandikwa kwenye vitabu vyao au? (Tutumie basi logic kidogo tuache janjajanja za kutaka kufinalize mambo kirahisi?
Unachokifanya wewe ni kosa la kimantiki linaloitwa Genetic Fallacy (kukataa hoja kwa kuangalia tu ilipotoka, badala ya kupima uzito wa hoja yenyewe).
 
Back
Top Bottom