Duh! Sio mchezo aiseee

Aiseeeee, kweli sasa wanaume tuongeze juhudi
Kazi za wanaume akina mama siku hizi...wanafanya wao mpaka za garage, kuendesha daladala, kupiga debe NK.
 
wanawake wote wangejituma hivyo na wanaume tujitume zaidi ya hapa nahakika raisi angeshaa mwenyewe kuwa yy kubana ila mtaani matanuzi yanarudi zaidi ya kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…