Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu ndio binti wa kwanza wa huyo mama...View attachment 708711
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu ndio binti wa kwanza wa huyo mama...View attachment 708711
Kazi za wanaume akina mama siku hizi...wanafanya wao mpaka za garage, kuendesha daladala, kupiga debe NK.Aiseeeee, kweli sasa wanaume tuongeze juhudi
Huyu hata akikuomba hela ya saluni unampa kwa moyo mweupeee. Unajua mpenzi wako kweli ana shida.
[emoji23] sistaduu wa sumbawanga mjinikama huyo ni binti basi kazi kwelikweli!! maaan ana sura ya kidume lakini hafanyi kazi!!
Ndio maana ndoa zinawashindaKazi za wanaume akina mama siku hizi...wanafanya wao mpaka za garage, kuendesha daladala, kupiga debe NK.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiihuyu ndio binti wa kwanza wa huyo mama...View attachment 708711
Mkandarasi wa mradi anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa kutofuata sheria ya Usalama kazini.