Duh! Nmb noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh! Nmb noma

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jcb, Mar 8, 2011.

 1. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi punde nimetokea mitaa ya kati kuutafuta mchana mwema, hapa NMB morogoro Rd. branch kuna foleni kubwa ndani kiasi kwamba Binti mmoja ameshindwa kuhimili amedondoka na kuzirai hivi nimepishana na wasamaria wema wamembeba wana muwahisha APOLO Hosp. iko jirani kabisa na benki hii.
  Kweli kuna umuhimu wa benki hii kuboresha huduma zake!!!!!
   
Loading...