Duh mkuu itabidi niache kuyatumia maana na mm naona chunusi znanianza..........tena nlikua natumia ayoo apo chini.... kuna mtu alinishaur ni mazur
.....
Na unashauri nani akaimbe kwenye mikutano ya Chadema, CUF, NCCR?
Naona watoto wa Kota mnashindana kututajia majina ya lotion/mafuta ambayo sisi watoto wa Uswahili hatujawahi kuyasikia wala kuyaona tangu tuzaliwe. Mimi mafuta/lotion ninayotumia ni Mafuta ya Kula kitu mng'ao wa Asili.
naangalia tuuu...sina ujanja wa kuchangia ligi hii..nishazoea yangu ya rays..:cool2:
mi yangu inaitwa MINARA,ni mafuta ya nazi,mazuri sana,hata MziziMkavu analifahamu hili,kama ngozi zao zimeharibika warejee mafuta haya,Shs.1,000/= maduka ya kawaida tu yanapatikana
wale wa vaseline mpooo
Aisee kuna kimkebe cha mafuta mgando yaliitwa yolanda yalikua sexy sana aisee
ulikuwa unayafanyia nini hayo mafuta?
nyeto bongo na madem wote hao:A S-eek:alikuwa anapigia punyeto....
mi yangu YOLANDA!!!
tena ukiyapulizia kwenye shati la juliana , those days kila kitu kilikuwa unisex.yolanda we acha tu. Back 1985 jamila alikuwa akiyapaka haya alafu tunaenda kwa mtoko kisha tunarudi geto then tunafanya sarakasi zote. Mpaka asubuhi akiamka bado yananukia tu
salama wakuu!
Naomba ufafanuzi kidogo juu ya product hizi mbili (body lotion)
1. Nivea for men
2. Nivea men
kwa tanzania maduka mengi huuza na wengi hutumia sana namba moja kwa uzoefu na uelewa.
Sasa hivi karibuni ukiagiza "nivea for men body lotion" unapewa "nivea men body lotion" yenye mfanano sawa na for men kwa kila kitu nje kasoro (for) katikati, kwa taarifa tu sio salama kwa afya zetu kwani imealibu vijana kama wawili hivi sasa jiran zangu na kugundua hili.
Naomba tueleweshane juu ya product mbili juu zinazofanana kwa wasiwasi, pamoja na tfda kutusaidia kwa msaada kwani nimeambiwa zinatengenezwa china but label kenya. Zinaalibu ngozi za watu
"but nivea men ni product inayotumika usa but ya sasa tz sio"
asanten!
...hivi ninawezapata wapi mafuta ya kujipaka yalikuwa yanaitwa "Mamisi, na mengine yalikuwa yaitwa Ashant"