Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

ILA KUNA WATU MAJASIRI SANA.
images
 
Ni kweli mkuu hata mm ninawafuga ni jamii hii wanataga mayai 200_260 kwa kweli ni raha na ni mfugo usio na shifa pia kitoweo chake ni safi
Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa.
Na huwa kwa pea (70-120/2hds)
Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
 
Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa.
Na huwa kwa pea (70-120/2hds)
Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
 
Back
Top Bottom