Duh! Ila wanyaturu ni warembo mpaka basi

Nina mda mrefu naishi hapa Singida ,Wanyaturu ni wazuri lakini wanamadhaifu yao Hawa watu hawajui kukataa awe mke wa mtu awe hajaolewa tabia ni ile ile pia wengi wao wamefanyiwa FGM(Female Genital Multilation) Na ukibahatika kuoa kama una uwezo familia yote itahamia kwako
 
1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!

NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
tupe mrejesho wanapatikana mkoa gani?
 
Back
Top Bottom