Uzi Kama huu bila picha ni kupotezeana muda tu.1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA !!
HujakoseaBila picha huu ni umbea.
Nasema uongo ndugu zangu?
Ngoma kwa Wameru huku, ni balaaa1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA !!
Bwana bwana, wale watoto ni wazuri, sema tu kukuchoma kisu ni dakika mbili.Ngoma kwa Wameru huku,, ni baraaa
Weka pichaIla ndo ukwl wenyewe hizo pisi acha kbs