Duh! Ila wanyaturu ni warembo mpaka basi

Duh! Ila wanyaturu ni warembo mpaka basi

Dada zangu wahaya mbona wanaanza kuletewa upinzani katika uzuri.
Maana ukisema mguu mjazo wapo. tako wapo. Ashiki na mlio wapo. Tabia njema wapo. Kujiamin na kujitambua wapo. Ngozi hawapo!
Na bado wana turufu ya maji!
 

Attachments

  • VID-20220418-WA0000.mp4
    6 MB
Kama wanyaturu ndo hawa. Basi tu narusha taulo, wapewe mkanda wao!
 

Attachments

  • IMG-20221205-WA0023.jpg
    IMG-20221205-WA0023.jpg
    131 KB · Views: 32
1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!

NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Bila picha tutakuaminije?
 
1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!

NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Wapi tupichapicha sasaaa.
 
Kuna wale wanaitwa wairak. Unachakata mchakato, huku naye anaongea lugha ya Aliens hivi wanapatkana wapi wale, mlamba asali nataka nkachonge mizinga maeneo yao.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom