Duh!! Huyu Dokii huyu.....

Mhh! money can buy anything in this planet, from dokii,marlaw and our dear friend who cry foul for his wife. Imagine being dumbed march 2010, then show up on tv september 2010, just to smear Slaa for unfounded allegation! This is known as quid pro quo i.e poors exchange votes for khanga and kofia. Long long way to go. ''not yet uhuru''
 
Sijamuelewa anaposema anamsupport JK hatua kwa hatua na yuko nyuma yake? Such an idiot Tanzanian pretending to be Kenyan...
 
huyo ni mtz mwenzetu masikini wa elimu,fikra,huruma,chakula,pesa tusimtenge tumuonee huruma najua anatafuta ccm impe ulaji wa udiwani au ubunge viti maalum si mliwaona akina vick kamata walikuwa na malengo yao si huyo tu je mlokole aliyetuaibisha sisi watz Frola Mbasha na mumewe vipi hawa jamani hamkuwaona ndugu zanguni?
 
Dah huyu 'MILF not' amenionesha jinsi wasanii wa Tz akili zao zilivyo. Bora angekaa kimya tuu
 
Eti Dokii anampenda Kikwete kwa kuwa ni HANDSOME BOY,

Nyerere alishasema kuwa "kama unampenda kikwete kwa ajili ya sura yake, nunua chai ukae naye uwe unamangalia"
Lakini siyo uongozi wa nchi.
Halafu anasema kuwa tukichagua upinzani tutapigana kama Kenya baada ya kuacha KANU, Hivi huyu MILF, hajui kuwa bila ya watu kutotaka dhuluma ndiyo wamepata Katiba mpya? Tanzania lazima zipigwe kwanza ndiyo nchi itanyooka, maana viongozi wetu wanatumia Amani kama silaha ya kuziba watu midomo.
 
kasema kuwa yeye ni msanii raia wa kenya, je ana kibali cha kufanya kazi ya siasa nchini?
uhamiaji wafanye kazi basi kama sio raia!!!
 
Back
Top Bottom