Duh hii imekaaje

Kuwa makini mkuu ,ukiwa na kiti Kila mtu anakitaka kukikalia ,watz hutumia Kila njia kukuangusha,weka hisia zako za miwili nje na ofisi utafanikiwa
 
Mkuu wa kitengo serikalini huyu! Je bado tunashangazwa na serikali inayofanya madudu kila kukicha!!
 
Kwa akili hizi imekuwaje wamekupa kitengo? Au head wa mambo ya mbolea na bayogesi?
 
Shida yake sio wewe ana kitu anakihitaji toka kwako mkuu.
 
Umeandika kama unakimbizwa
 
Watu kama ww ndo wanafanya huduma zinakuwa mbovu katika ofisi za umma
 
Ngoja Nije nizae katoto kakike kaje ofisini kwako ukaombe mzigo nikukomeshe!!!
Utafanyaje?unataka umtie uhanithi?
Nadhani huyu ndugu ni effect za matatizo ya kupiga bao la mkono muda mrefu🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…