Duh hii imekaaje

Billion Dolar

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
1,411
Reaction score
3,203
Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.

Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.

Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna hali flani alitakiwa kuja kufanya folowup sasa nikamwambia usihangaike kuja just chukua business card utanipigia tu.

Basi bwana alikuja jana leo akapiga akajitambulisha nikamkumbuka. Ikimbukwe shida yangu ilikuwa nipate namba then niombe mzigo.

Sasa dem analalamika simtafuti tumeongea naye anadisitiza niwe namtafuta sasa yeye ndo anafuatilia
 
Mbona kama unaandika huku unatetemeka sana, umekula chakula?

 
Kwa huu mwandiko, futa hapo ulipoandika ni mkuu wa kitengo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…