Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Ulivyoandika "kiroba" tu ndio nikashusha pumzi na kujua kumbe upo kwenye llistya waliopata janga la taifa.

Pole sana, serikali fungia viroba tafadhali taifa linapotea kwa kupunguza uwezo wa kufikiri.
 
Hakuna aliezaliwa na Ndege, kwa upande wangu sijawahi kupanda kabisa, hata nikienda JNIA sizioni maana pale juu wametuzuia kupanda eti bush alizuia.

Alipoandika Dar kwani haukuelewa? Duniani kwenye mengi hata mitandaoni kucheki flight stats etc unaweka Dar... No ya Nyerere wala nini. Umemwelewa unataka kumsahihisha wakati hata kiduniani wengi hawajui jina hilo lipo.
Mzuri wewe mimi sikumuelewa Dar kwenyewe sijawahi kufika,naishi huku Kigoma Bangwe ila nilivyoona post ya Rich Pol ndiyo nikajua alimaanisha nini. Nami sijawahi kupanda ndege ujue.
 
Last edited by a moderator:
Hata wiki mbili wewe si umezoea kwa sisi watoto wa wakulima hata miezi una imagine dk 45 za safari wakati mwanzo kwa treni wiki mbili chezea Ndege Hongera kwako mtoto wa Tanganyika school.

Ah mimi Saint Kayumba aise..hii makitu sijawahi hata kuiona kwa karibu.
 
Ulivyoandika "kiroba" tu ndio nikashusha pumzi na kujua kumbe upo kwenye llistya waliopata janga la taifa.

Pole sana, serikali fungia viroba tafadhali taifa linapotea kwa kupunguza uwezo wa kufikiri.

Kwani viroba ni sumu? Mbona serekali ndo inachukua kodi!!
 
Welcome aboard, cabin crew take your seats..

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hahahahaah,,,,,,hongera kwa kupanda ndege.
 
Hongera kwa kupanda ndege. Ndaga fijo na maroli na mapikipiki na maFastJet
 
Back
Top Bottom