Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Sijui. Ila washamba wa ndege ni wanyakyusa teh teh teh.

unajua hata wakisindikizana stendi wanaanza kuagana hadi basi linafika mbezi? Umponileee na babu, umponile nyau, uyaponile mahindiiiii na mchele! Mwenzio mtoa mada kilichomsikitisha kwa kupanda ndege ni kukosa kupewa salamu huku ndege inapaa kwi kwi kwi!!!

Umenivunja mbavu
 
hahahah hahaha leo nimecheka jamani.

hivi we dada unaishi wapi?
napenda sana comments zako na yule. miss chagga wa kishimundu moshi

Yani mpaka sasa hivi moyo unanidunda.Asante kwa kupenda comments zangu
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana mara ya kwanza kupanda ndege ,uanzie uchanga au uzeeni,utataka kupanda tena. shibe ya Jana haimalizi njaa ya Leo. hongera kwa kupanda ndege mwaya
 
Naomba kuuliza jmn, hvi kwenye ndege naruhusiwa kutembea tembea hv au kusimama ikiwa inaenda

Just like the old days
 
kwa sababu natokea 'intilia' kidogo (santilia) ilinichukua kama siku mbili kupata booking safari ya ndege. nikitokea uwanja wa songwe mbalizi mbeya safari yangu ya angani ilinichukua takriban dk 45 tu ukiachia rabsha za hapa na pale japo ni gharama lakin uwazi kuchimba dawa wala kula njiani labda uhuru tu wa kuwapungia mikono wasindikizaji na kutembea ovyo ndani hakika nineinjoi baada kufika NIA dar nilijiona mwepesi na tafakuri nyingi kichwani kwamba ni kweli nimefika au naota, nimezoea tren ya tazara zaidi siku 2 kusafiri njian its so amazing lol ilinichukua karibu masaa 8 kuwafakia wenyeji wangu nao walishangaa wala hawakuamin kama nimekuja na ndege kumbe niliminya sehemu nagonga viloba ili akili ikae sawia nimeamini tafuta ela uitmie na maisha mazuri yakuzoee

Mwanawane, nauli shilingi ngapi toka Mbeya mpaka Bongo?
 
Huko Santilia alikotoka ni Wandali kama sijakosea. Unaweza ingilia pale Mbalizi kulia au njia ya kuingia gereza la Songwe kisha unaenda ndani milimani!

santilya wanakaa wamalila ndugu: kama unakumbuka hesabu za seti, kuna miduara miwili hukutana katika kitu kinaitwa intersection. mila na desturi za hapo santilya ni intersection ya wanyiha na wasafwa. hakuna wandali kwa sababu wandali wapo ileje.
 
kwa sababu natokea 'intilia' kidogo (santilia) ilinichukua kama siku mbili kupata booking safari ya ndege. nikitokea uwanja wa songwe mbalizi mbeya safari yangu ya angani ilinichukua takriban dk 45 tu ukiachia rabsha za hapa na pale japo ni gharama lakin uwazi kuchimba dawa wala kula njiani labda uhuru tu wa kuwapungia mikono wasindikizaji na kutembea ovyo ndani hakika nineinjoi baada kufika NIA dar nilijiona mwepesi na tafakuri nyingi kichwani kwamba ni kweli nimefika au naota, nimezoea tren ya tazara zaidi siku 2 kusafiri njian its so amazing lol ilinichukua karibu masaa 8 kuwafakia wenyeji wangu nao walishangaa wala hawakuamin kama nimekuja na ndege kumbe niliminya sehemu nagonga viloba ili akili ikae sawia nimeamini tafuta ela uitmie na maisha mazuri yakuzoee

....salute wewe !!!!

....Mkuu darasa tosha salute wewe....
 
Back
Top Bottom