Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Ugeni wa kupanda ndege + Viroba original = Mwandiko na Hoja kama hii
Hahahhaa..
Ugeni wa kupanda ndege + Viroba original = Mwandiko na Hoja kama hii
ha ha ha ! Mi niliomba kukaa dirishani ili nichungulie nje!!!
Aisee iyo price n reasonable , bahati mbaya nakaa acticlockwise na Fastjet route bt ningeshaondoa Gundu mana hata cjwah kuigusasafi sana nilizani imepanda
Mkuu umenikumbusha siku ya kwanza kupanda ndege, miaka 15 iliyopita ndiyo nimetoka chuo tu nikapata ajira serikali kapost ambako kaliruhusu kutembelea anga. Ninakumbuka wakati inaacha ardhi nilitaka niombe kushuka nilidhani sasa natangulia mbinguni, halafu wakati inaruka tena kwenda juu zaidi mpaka utumbo unatikisika na unahisi masikio kama yameziba hivi.Hahaha...ati ilipokuwa inapaa ukasimama unatafuta chuma la kushika!!?
Nimekumbuk utani wa wamalila . Mzee m1 akiingia kweny basi la kwao anasema " Hodi mwe basi shikamoo delefaSantilia-Wamalila, wandali Ileje
ahsante myn namwogopa amu lol
Duh!!! kweli we mgumu. Si bure , bandama lako lina matatizo.Hahahahaha aiseee mkuu umenifanya nitabasamu
Nawafatilia
Hakuna aliezaliwa na Ndege, kwa upande wangu sijawahi kupanda kabisa, hata nikienda JNIA sizioni maana pale juu wametuzuia kupanda eti bush alizuia.