Etiiiiii???????? Yummy utanieleza ukweli juu ya hili kumbe una mume mwingine??? Mipango ya kando mna shida nyie
Mume wangu si nilikwambia mipango ya kando haifai tulia na mimi husikii ona sasa
mwambie aache ufukunyuku! mzima weye mke mwenzangu??
Na wewe kipi kikuchekeshacho?
Niko gado mwaego
Umenifurahisha,hutaki?!
Wewe nawe acha kuniharibia mwenzio,akuuuuu.....ushaona mwenzako napigwa madongo kila kona:hatari:
Niko gado mwaego
Umenifurahisha,hutaki?!
Wewe nawe acha kuniharibia mwenzio,akuuuuu.....ushaona mwenzako napigwa madongo kila kona:hatari: