Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,701
Tunaiomba picha ya Jana na JuziJana na juzi bei ilikuwa ni chini ya dola 3!
Usitumie hisia kwenye hizo mambo ni siasa za siasa sio vita ila siasa ndio chanzo cha vita nyingiHuyu Trump alijinadi kuwa ni mtu asiyeanzisha vita.
Ona sasa alivyofanya.
Republicans wanaenda kutandikwa vibaya kwenye midterms……
Mbona Mimi naona wote hawana nafuu Hilo Taifa vita ndio biashara YaoMarais wa Republican ni warmongers
Kama Marekani atapata Control ya Mafuta ya Iran atakuwa ana control all largest oil reserveMarais wa Republican ni warmongers
Sikupiga.Tunaiomba picha ya Jana na Juzi
Katika miaka hamsini iliyopita vita kubwa za US zimeanzishwa na Republicans, Bush Senior, Bush Jr, TrumpMbona Mimi naona wote hawana nafuu Hilo Taifa vita ndio biashara Yao
Na wewe acha kutumia hisia hapa.Usitumie hisia kwenye hizo mambo ni siasa za siasa sio vita ila siasa ndio chanzo cha vita nyingi
Upo sahihi chanzo cha vita na mauaji mengi ni siasa na ukweli ulio wazi hatuwezi kuwepo bila siasa na siasa ndio zinatufanya tuwe hapa tupo leo, matatizo na changamoto nyingi duniani sababu ni siasa na wanasiasa hua wanaongopeana km haujui nimekujuza na baada ya kuongopena wenyewe kwa wenyewe kuna wakati wanakaa wanapougundua ukweli wananzisha vita wenyewe kwa wenyewe hio ni vita ya kisiasa inapigwa vita moja safi kabisa chanzo cha yote ni siasa sio uongo ni siasa kabla ya uongo kuingia siasa inakuaga mbele baada ya siasa unafuata uongo, ushaelewaWanasiasa ni watu wa hovyo sana na wengi wao huwa wana asili ya kusema uongo.
Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga.
Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia.
Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa.
Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini Iran wanadai wameitungua walau ndege moja.
Hapo sijui nani anasema ukweli maana wote huwa wanadanganya.
Haya, leo nimeamka naenda zangu kubeba boksi nakuta bei ya mafuta, Regular Unleaded ni zaidi ya dola 3 kwa galoni moja.
View attachment 3551171
Jana na juzi bei ilikuwa ni chini ya dola 3!
Wanasiasa ni watu wa hovyo sana na wengi wao huwa wana asili ya kusema uongo.
Huyu Trump alijinadi kuwa ni mtu asiyeanzisha vita.
Ona sasa alivyofanya.
Republicans wanaenda kutandikwa vibaya kwenye midterms……
Ndio punguza mapenzi kwenye mada km hizi don't be too emotional sababu ishatokea huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma haiwezekani muda ushavuka pale hisia zako weka pembeni kubari kilichopo endelea na kilichopo maana hata ukilaumu unaemlaumu hawezi kukuelewa punguza hisia usilie kwa sauti lia kimya kimya kuna mtu anapasuliwa jipu huko maumivu hayawezi kua upande wako sababu wewe jipu sio lakoNa wewe acha kutumia hisia hapa.
Nimemwambia mimi apunguze hisia kwenye mapenzi km haya asiweke hisia mbele sana itamcostHata kama ungekuwa ni wewe wadau wameachia part one ya epstein files kuonesha wana mafiles yote then jews wanakuambia fanya hichi lasivyo tutafabya hivi utafanya nini?..
Trumps kawa blackmailed na jews
Ni mafuta, gas, Israel na epstein files.Kama Marekani atapata Control ya Mafuta ya Iran atakuwa ana control all largest oil reserve
Unahisi Marekani hapotezi chochote?Ndio punguza mapenzi kwenye mada km hizi don't be too emotional sababu ishatokea huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma haiwezekani muda ushavuka pale hisia zako weka pembeni kubari kilichopo endelea na kilichopo maana hata ukilaumu unaemlaumu hawezi kukuelewa punguza hisia usilie kwa sauti lia kimya kimya kuna mtu anapasuliwa jipu huko maumivu hayawezi kua upande wako sababu wewe jipu sio lako