Duh! ALOEVERA

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Hivi hii alovera ndo kimekuwa kigezo cha makampuni ya dawa kutumia jina hilo ili kupata fedha nyingi? Kila anayekuja na dawa ya meno,mafuta ya kujipaka,sabuni,dawa za nywele,vidonge utasikia muuzaji eti ni aloevera!
Basi tusubiri siku si nyingi zitakuja SIMU za ALOEVERA.
lol
 
na wabongo tukiona kitu kimeandikwa Alovera basi tunajua ndo chenyewe hicho, lol
 
Alovera ni zaidi ya uijuavyo, yani kuanzia chai, juice, mafuta, dawa ya meno, na blabla zote zilizosalia.
 
Back
Top Bottom