Dufu Lina vibe nyie

Dufu Lina vibe nyie

Disco limevamiwa na Masai
Serikali iunde tume ya kuchunguza mabadiliko ya kitabia na mienendo ya hawa viumbe haraka iwezekanavyo. Baada ya hapo juhudi za kuwarudisha kwenye makazi yao ya asili zianze mara moja la sivyo tutapoteza miongoni mwa vivutio bora vya utalii nchini

Kwahiyo hapo alivyobinuka akaangukia kifua alikuwa anawaiga wale wanawake kwenye vigodoro🤣🙌!
 
🤣🤣 Alipoanguka alikuwa anafanya Nini?

Ulikuwepo kwenye sakata la ngorongoro?
Waligoma kuhamishwa kwenye maboma Yao wakatolewa kinguvu
 
  • Kicheko
Reactions: ---
Back
Top Bottom