LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,677
Nilikuwa nafuatilia interview ya dudubaya kwenye kipindi cha mkasi s09e09 dudubaya kanifurahisha sana jamaa,hakika huyu ni stress free zone,yupo free sana kuelezea hisia zake huyu jamaa,hakika binafsi nimekuwa mshabiki wako wa damu,hauna unafiki kabisa DUDU...safi sana mkuu.