Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake

Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga

Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga

Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga

Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka

Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume

Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana

Wakati mwingine wala mtu hukutaka kusikia neno hilo lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana

Anatukana wasanii wengi sasa sijajua mwisho rafiki yake atakuwa nani kwasababu anaowatukana ni wasanii ambao wanafanya sanaa pamoja ni sawa na kutukana wafanyakazi wenzake jambo ambalo linaudhi sana

Mwanaume mzima zaidi ya miaka 30 - 40 kumuita shoga tena kwa kashfa ni sawa na kumtukana na hata kukufuru uumbaji wa mwanaume
 
Nini mantiki ya kusema "ushoga/shoga" ni dharau au dhihaka au kuvunjiwa heshima kwa mwanaume/ wanaume???

Ushoga ni hali ya mahusiano ya mapenzi baina ya wanaume. Sasa hiyo maana nyingine mnaitoa wapi?

Ushoga ni hisia za mwanaume fulani juu ya jinsia yake, shida iko wapi hapo??

Straight uchwara kazi mnayooo, mbona mashoga wako buzzy hawawazungumzii nyie, ila nyie sasa mnavo haha.

Jamanii kila mtu ana uelekeo wake wa kingono, hakuna kupangianaa. Lol
 
Sasa mkuu inabidi mtueleweshe juu ya uhalali wa msimamo wenu ili kuondoa wingu la sintofahamu tulilo nalo juu yenu.
Ingekua sio halali si ungeona inachukuliwa hatua, mbona kuko shwari tyuu, hilo la sintofahamu mnalo nyie waja uchwaraaa.
😂😂😂😂😂😂😂.

Misimamo ilishatolewa hadi na viongozi wakuu wa nchi, au ulipitwaaa??
 
Back
Top Bottom