Dudu baya aka konky master

Dudu baya aka konky master

Travis Kitengo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
489
Reaction score
1,200
Dudu baya au KONKY master siku hizi kaacha muziki na kuwa mchambuzi much know katika online Tv hapa bongo

1.Anajua chanzo cha diamond kugombana na wasanii wenzake kina harmonize,alikiba
2.Anajua chanzo cha vita ya Ukraine na Russia
3.Anajua sababu za Aziz-ki kutemwa Wydad
4.Anajua sababu ya jux kuachana na Vanessa
5.Anajua kisa cha maghorofa ya kariakoo kudondoka
6.Anajua sababu za mechi ya Simba na Yanga kuahirishwa
7.Anajua chanzo cha mgogoro mashariki ya kati
8.Sababu za warace karia kubaki peke yake kwenye uchaguzi wa TFF ..anajua
9.Kufa kwa vyama vya ushirika Tanzania anajua
10.Historia ya mgogoro mashariki mwa Drc...anajua!

Jamaa ni much know kila topic yeye yumo,iwe dini,siasa,uchumi,michezo,utamaduni yumo tu🤣
Mengine mtaongezea....
 
Attachments

  • FB_IMG_1751657765936.jpg
    FB_IMG_1751657765936.jpg
    16.3 KB · Views: 29
Mimi nimeusoma uzi katika sura Positive.

Kujua kunatokana na kujifunza, kusoma na kufuatilia so kama anajua vyote hivyo He is good kwenye Kusoma, kujifunza na kufuatilia vitu - Mchokonozi.
 
Dudu baya au KONKY master siku hizi kaacha muziki na kuwa mchambuzi much know katika online Tv hapa bongo

1.Anajua chanzo cha diamond kugombana na wasanii wenzake kina harmonize,alikiba
2.Anajua chanzo cha vita ya Ukraine na Russia
3.Anajua sababu za Aziz-ki kutemwa Wydad
4.Anajua sababu ya jux kuachana na Vanessa
5.Anajua kisa cha maghorofa ya kariakoo kudondoka
6.Anajua sababu za mechi ya Simba na Yanga kuahirishwa
7.Anajua chanzo cha mgogoro mashariki ya kati
8.Sababu za warace karia kubaki peke yake kwenye uchaguzi wa TFF ..anajua

Jamaa ni much know kila topic yeye yumo,iwe dini,siasa,uchumi,michezo,utamaduni yumo tu🤣
Kuna mtu anampa nondo kikubwa upangiliaji tu wa maelezo na kujenga usikivu, huyu jamaa ana kitu msimchukulie poa

Vita za Israel huku hata wakina Webabu wanazichambua ila wapo Ubungo Kibangu huko kwenye miinuko
 
Kujua mambo mengi haikatazwi,si dhambi,hauvunji sheria ili mradi kweli uwe na uwezo wa kuyabeba mambo hayo.Sijauona huko "kujifanya much know".Kwani ana umri gani?Kaja mjini lini?Kuonesha kujua tu au ameishi na kuyashuhudia mambo mengi kwa umri wake?Ukiona mwenzako anajua halafu hutaki ajue,kaa ujue una matatizo mengi yanayohitaji utatuzi wa haraka.Na wewe jua,haikatazwi!
 
Back
Top Bottom