Dudu Baya ajuta kuzaliwa mtu mweusi

Dudu Baya ajuta kuzaliwa mtu mweusi

Inabidi awafungulie kesi wazazi wake, kwa nini walimzaa!
 
Hakuna mission yeyeto chafu Africa bila mwafrika kushiriki hata biashara ya utumwa mwafrika ndie alikuwa dalali wa kuuza waafrika wenzetu kwa muarabu then mwarabu akawauza kwa mzungu aliyewahitaji kwenye mashamba na migodi
 
Ila waandishi bongo Bana. Yani Dudu Baya Sasa hivi anatafutwa kuhojiwa mambo mbalimbali ya kiuchumi, kijamii kisiasa kitaifa na kimataifa.

Nyau de adriz
Ukimtazama Dudu Baya kwa mtazamo wa kibangi bangi utamuona mtu wa hovyo hovyo tu, ila ukimsikiliza kwa makini pasipo kuzingatia makandokando yake utagundua anayazidi ma sisiemu mengi sana kule bungeni.
 
Hutu mtu kichaa hata nyimbo hana ndio kujua nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom