Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
Def,
Yes, Dubai ni miongoni mwa United Arabi Emerates....nyingine ni Oman, Bahran nadhani na Qatar.
Def,
Yes, Dubai ni miongoni mwa United Arabi Emerates....nyingine ni Oman, Bahran nadhani na Qatar.
OLOF PALME,if my memory serves me right,swedish premier alikuwa mtu wa watu,no security detail look where he ended up-assasinatedMimi namsifu tu kwa kutokuwa na security detail. He seems like a humble man japo ni tajiri kweli. Je viongozi wetu wanaweza kugive up security detail and all the luxuries of office?
Duuh, mzee naona unachanganya mambo. Hizo zingine zote ni nchi. Dubai najua ni part of UAE, nilikuwa na react tu kwa GT kuiita 'nchi'.
GT naomba part 2.umeweka same link.
Anyways, I give him 10/10 for drive and determination. Attracting business is very sound indeed. Whether anybody wanna live in the desert...as a longterm investment sijui. When the oil runs out...majengo ndio yatakuwa tourist attraction? Nadhani labda Israel inaweza kuwa interesting zaidi kuiangalia.
But kudos for loving 'his' state. Yuko patriotic indeed, which looking at it, puts us into shame. Na haya mambo ya BUzwagi...etc...kinda hurts.
umekosea kati ya hizo nchi hakuna iliyopo katika muungano wa falme za kiarabu(United Arab Emirates)Def,
Yes, Dubai ni miongoni mwa United Arabi Emerates....nyingine ni Oman, Bahran nadhani na Qatar.
AhsanteNope si sahihi. United Arab emirates ni muungano wa nchi saba nazo ni Dubai, AbuDhabi, Sharjah,Fujairah, Ajman, Ras Khaimah na Umm quwain