Dua zenu tafadhalini

Dah! Kila la kheri 2nakasubiri ka beby hako kaje kusikia duniani kuna watu wanaitwa kikwete,slaa,mbowe,zitto na wa2 wabishi kama rejao na maralia sugu!
 
Mungu akutangulie Flora!!Mie ntakuombea umalize hiyo safari salama!!
 
"Stahili salama".
Mungu akujalie safari njema, utotoe salama usalimini na urejee salama.
Wajomba tupo tutasaidiana ulezi.
 
Kila la heri Flora....nakutamania yani.
 
Pole! Ulishataga?manake huwez kutotoa bila ya kutaga. Nakutakia utotoz mwema
 
Kila la kheri Flora,MUNGU akupe nguvu na uwezo wakujifungua salama,mtoto na ww muwe na Afya njema,2po pamoja katk sala Dia.
 
Inshallah ufike salama, mambo yatakua poa.
Mi nakuombea ipate baby girl, umwite Grace
 

hahahaha msinitoboe macho basi!jamanii lol
 
mimi ndo dokta mkuu ktk kitengo cha kutotolesha hapa kilimanjaro hospitalin so see yu later
 
All the best Flora!

Mungu akutangulie kwa kila hatua!
 
dah! Kila la kheri 2nakasubiri ka beby hako kaje kusikia duniani kuna watu wanaitwa kikwete,slaa,mbowe,zitto na wa2 wabishi kama rejao na maralia sugu!

haaaaa umeniacha hoi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…