Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 883
- 1,045
Habari za jioni.
Mungu tunae muabudu ametuamrisha tumuombe kila kitu na kufanya jitihada pia.Lakini tunaomba dua kila siku tunapoteseka au kuonewa au kudhulumiwa.
DUA ZINAZOJIBIWA HARAKA NA MUNGU
1. Dua ya mtoto yatima.
2. Dua ya alietapeliwa/ kudhulumiwa haki yake isiyo ya dhuluma.
3.Dua ya mwanamke/ mwanaume alieibiwa mpenzi wake wa ndoa.
4.Dua ya mtu aliesingiziwa uongo ili achafuke.
Wewe ofisa uliepewa dhamana ya kuhudumia watu unaishi na mke wa mtu wa mfanyakazi mwenzio kisa yeye ni tabaka la chini bila woga unamfanya kama mke wako huna wasiwasi kabisa ulaaniwe laana kubwa mwaka huu 2024 ukawe wa mikosi kwako na kila baya likuandame kwa uwezo wa mungu ameen.