Dua ya kulaani maofisa wanaoishi na wake za watu

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
856
1,006
Habari za jioni.

Mungu tunae muabudu ametuamrisha tumuombe kila kitu na kufanya jitihada pia.Lakini tunaomba dua kila siku tunapoteseka au kuonewa au kudhulumiwa.

DUA ZINAZOJIBIWA HARAKA NA MUNGU

1. Dua ya mtoto yatima.

2. Dua ya alietapeliwa/ kudhulumiwa haki yake isiyo ya dhuluma.

3.Dua ya mwanamke/ mwanaume alieibiwa mpenzi wake wa ndoa.

4.Dua ya mtu aliesingiziwa uongo ili achafuke.

Wewe ofisa uliepewa dhamana ya kuhudumia watu unaishi na mke wa mtu wa mfanyakazi mwenzio kisa yeye ni tabaka la chini bila woga unamfanya kama mke wako huna wasiwasi kabisa ulaaniwe laana kubwa mwaka huu 2024 ukawe wa mikosi kwako na kila baya likuandame kwa uwezo wa mungu ameen.
 
Bro wanasema ni kama sahani, ukimaliza kulia chakula osha achia wengine wale nao, Don't focus on a woman utakuwa na amani sana na hutalaani bali utabariki.
Inasikitisha sana ofisa anaishi na mke wa mtu na wala hana wasiwasi.
 
Habari za jioni.

Mungu tunae muabudu ametuamrisha tumuombe kila kitu na kufanya jitihada pia.Lakini tunaomba dua kila siku tunapoteseka au kuonewa au kudhulumiwa.

DUA ZINAZOJIBIWA HARAKA NA MUNGU

1. Dua ya mtoto yatima.

2. Dua ya alietapeliwa/ kudhulumiwa.

3.Dua ya mwanamke/ mwanaume alieibiwa mpenzi wake wa ndoa.

Wewe ofisa uliepewa dhamana ya kuhudumia watu unaishi na mke wa mtu wa mfanyakazi mwenzio kisa yeye ni tabaka la chini bila woga unamfanya kama mke wako huna wasiwasi kabisa ulaaniwe laana kubwa mwaka huu 2024 ukawe wa mikosi kwako na kila baya likuandame kwa uwezo wa mungu ameen.
Vinakuaga na card za CCM basi vinajionaga babkubwa
 
Mkuu Pole sana kwa hilo tatizo

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Habari za jioni.

Mungu tunae muabudu ametuamrisha tumuombe kila kitu na kufanya jitihada pia.Lakini tunaomba dua kila siku tunapoteseka au kuonewa au kudhulumiwa.

DUA ZINAZOJIBIWA HARAKA NA MUNGU

1. Dua ya mtoto yatima.

2. Dua ya alietapeliwa/ kudhulumiwa.

3.Dua ya mwanamke/ mwanaume alieibiwa mpenzi wake wa ndoa.

Wewe ofisa uliepewa dhamana ya kuhudumia watu unaishi na mke wa mtu wa mfanyakazi mwenzio kisa yeye ni tabaka la chini bila woga unamfanya kama mke wako huna wasiwasi kabisa ulaaniwe laana kubwa mwaka huu 2024 ukawe wa mikosi kwako na kila baya likuandame kwa uwezo wa mungu ameen.
Achana na Dua wewe , work physically/kibinadamu kutafuta suluhisho na kisasi....... Hata kama itachukua muda mrefu vipi make sure you don't forget uso wa mtesi wako.
 
Ukiwaza mwanamke utachelewa sana,Mungu aliwaacha na Adamu bustanini kurudi wamedanganywa na mwovu.
 
Back
Top Bottom