Du, ningejinyonga na kamasi!

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Boy: You Are the sunshine to My Life.
Without You Life Is Cloudy.
You are in My Heart Like Rainy Water in a Barren Land.
Girl: Darling! Is it a Proposal or a Weather Report?
 
Du..Hawa vijana wa dot...com bana!

Sisi enzi hizo ilikuwa hakuna kurefusha maneno!

Umempenda mtoto wa mtu, unaulizia shamba lao liko wapi, unatafuta machalii wenzako kama 15 hivi, mnaenda mnalilima-kwisha habari, huyo demu hawezi kataa lolote!...!..

Mambo ya ..sijui..fuel...dstv...rent..na maninininI ya nini bana?
 
PakaJimy, shamba kabisa..hiyo si ni shida kabisa!!!!bora niache..lol!
afadhali kuzaliwa wakati huu..
 
We dogo we sijui ndo vp!

Yani bora uache nchumba kwaajili ya kuogopa kulima shamba?

Ama kweli vizazi hivi vya blue-band, job-true-true![kaz kwelikweli]
 
Kwanza umentukana..ila nimekusamehe bure!
sasa kaka, kama lugha inapanda..kuna haja ya kulima shamba kweli..
nowadays, mambo ni kuwork smart sio hard...
TECHNOLOGY..dat's de definition!
 
PJ usisahau hata mashamba siku hizi kuna familia kibao hazimiliki hiyo rasilimali lulu!!!
Ila hiyo ilikuwa poa mapenzi ya kweli hamna hata longolongo sasa siku hizi uongo mtupu, mnadanganyana weeeeeeeeee!!!
 
Samahani ndugu..hakika sina mpango wa kumtukana mtu hapa ndani pasipo sababu yoyote..

Nikiangalia naona kama vile neno lililokuudhi ni hilo.."DOGO!."

kAA UKIJUA KUWA HUMU NDANI HATUJUANI UMRI ZETU, LAKINI kwa asilimia kubwa nitakuwa kakaako, usiseme nakutukana tena!

But my friend, disregard it, na chukulia poa tu Mkuu. Heshima mbele!
 
bht point yako ya kwanza kweli..ila umekosea mwisho. Huko unakokuita kudanganyana, sisi tunaita being romantic..thnk 2yc!
 
Kaka mimi sisiti kukupa heshima yako..ila wakati mwingine mtu wa heshima anajionyesha kwa matendo yake..
kwa mtazamo wangu hilo Jina PakaJimy lnakuweka less than 24yrs...and that meks me ur damn bro!
nyc tym...PakaJimy!!!teh teh teh..
 
hahaaaa haki ya nani hiki ndo mana ni kizazi cha dot com na uongo nao una jina la kitechnologia....eeeeh being romantic!!! nimeipenda hiyo ntaikopa tafadhali!!!
 
Kaka mimi sisiti kukupa heshima yako..ila wakati mwingine mtu wa heshima anajionyesha kwa matendo yake..
kwa mtazamo wangu hilo Jina PakaJimy lnakuweka less than 24yrs...and that meks me ur damn bro!
nyc tym...PakaJimy!!!teh teh teh..

Jina nini Mkuu?
Iam to my Early 40s.
So iam your elder broda!..huh!
 
Jina nini Mkuu?
Iam to my Early 40s.
So iam your elder broda!..huh!

PJ my brother (with respect I call you that),

watu tunatofautiana sana kifikra maoni mtazamo etc.

mimi nilipoanza kusoma post zako tu na hiyo avatar....I new it!!!
 
To me that sounds mo of a dis than a compliment!
PJ, kama uko 40 nakupa heshima zote..SHikamoo baba mdogo/mjomba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom