Du! Joka kumeza mamba!

Du! Joka kumeza mamba!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1,399
Reaction score
256
joka.jpeg

Uliamini hii hapo awali.
 
huyo atakuwa mtoto wa mamba.
 
huyo ni python. Anaweza kummeza mamba wa aina yoyote mkuu
 
Hivi python kiswahili chake si ndo chatu!...wenyewe wanazaliwa wakiwa wakubwa tu!?

Python ni mkubwa zaidi. Nadhani chatu ni anaconda ila wataalamu wa reproduction na classification mnaweza kunikosoa.
 
Mamba na Chatu ni suala timing. Mamba akiwahi chatu analiwa. na Chatu akikomaa Mamba analiwa kama unvyoona
 
Python,Anaconda,chatu wote wana-fall under classification ya 'Boaconstrictor' ambao hawana sumu ila wanategemea nguvu zao kumbana mnyama mpaka afe kisha kumla.Ukitaka kumjua,kichwa chake kina shape kama diamond ikiwa imechongwa,tofauti na wengine wenye sumu ambao wana vichwa vidogo vya round.Cha msini kutowasogelea nyoka yoyote kama hujamtambua
Anaconda siyo chatu. Chatu ni Python.
 
Shukrani sna wakuu maana ni lazima sasa nisome ili niweze kuwa jua vyema hawa nyoka
 
Huyo ni anaconda, na yule mkubwa kabisa anauwezo wa kumdhibiti aina yoyote ile ya mamba na kummeza kabisa!!
Ni hatari mno huyo hata wapiga picha za wanyama humuogopa hawawapigi mara kwa mara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom