Du hii hali

Pole sana!
Mkosekanapo wadau kama wewe, wale , wao, yule , nyie, huyu, hao , n.k neno Usimbe litafutwa kwenye msamiati wa Kiswahili .
Stahamili .
 
Mwepesi tu, ndg yetu kalalamika weather winter much too!
Huyu angekua na mwenzawake pengine asingelalamikia baridi kw kuianzishia thread.

thats ma shem.....umeona eeh....wote tumo mumu humu lakini mbona hatupati baridi....au hii baridi ipo kata hadi kata....?...haaa....!!!!

pole comi! wish tu hold u tight! ni upepo tu lakini unapita!
 
thats ma shem.....umeona eeh....wote tumo mumu humu lakini mbona hatupati baridi....au hii baridi ipo kata hadi kata....?...haaa....!!!!

Aaapo chacha!
Ndo usindwe kusangaa !
By the way wewe si umeshajimilikisha brangeti movable! Dogo holaa!
 
Back
Top Bottom