Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

Sio kama wanavyojaribu kuwaaminisha wengine kwa picha zao.
Halafu akitokea mtu na kuweka picha yake halisi....team zitafufuka huko ziliko na kuanza kufurumusha matusi kwa muweka picha.
Ben aliimba "jikubali".....sijui kwanini hili somo linawapitia pembeni.
Kujikubali ndo silaha ya kila kitu
 
Mzee wa Torano, hawa wadada wadada wa mjini nawajua vizuri maana tunagongana nao sana viwanja.
Hii kitu camera 360 inawaharibu sana wadada.
Mie najikubali....sihitaji camera 360 wala taa ya mzungu...hahahahah
hahaha eti camera 360,wanaturusha roho tu,afadhali umenitonya mie mpk nawaogopa,hebu nipe kiwanja chao niwazukie niwashuhudie live,tena siku hy nakualika tuwachore
 
hahaha eti camera 360,wanaturusha roho tu,afadhali umenitonya mie mpk nawaogopa,hebu nipe kiwanja chao niwazukie niwashuhudie live,tena siku hy nakualika tuwachore
Usijali....wewe siku ukipata rundo la pesa nitafute nikupeleke kiwanja chenye madada zako....utajutraaaaa.
Yaani ni sheeeeeda
 
Back
Top Bottom