dstv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dstv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mavella, Feb 4, 2011.

 1. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nilikuwa nimebahatisha kuzipata channel 3 za supersport yani
  ss2
  ss5 na
  ssmaxmo
  kupitia intelsat 7/10 freq 11594
  sr 27500
  nilifaidi kama wiki mbili kuangalia baadhi za mechi, nilisafiri kama wiki mbili niliporudi nilikuta signal imeshuka sana na baadhi ya channel zikawa zimepotea zikiwemo zile za ss baada ya kuongeza signal kwa kugusagusa dish nyingi zilionekana lakini zile za SS nikakuta meseji ya SCRAMBLED CHANNEL je kuna uwezekano wa kuwa tena FTA?
   
Loading...