Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Habari wakuu , napatikana mjini USHIROMBO wilaya ya BUKOMBE,
Tangu mwaka 2006 nimekuwa nikijihusisha na kazi hii ya ufundi wa madishi mpaka muda huu namudu kufanya kazi yoyote sio kufunga ving'amuzi tu bali madishi yote na kila king'amuzi kinachotumika hapa TANZANIA kama: zuku, startimes, azam , dstv, continental, ting, canal +, na madishi makubwa kwa mfumo wa free to air chanells,
Kama una tatizo lolote kuhusu chaneli usisite kunitafuta.
KARIBUNI.