Muce
Senior Member
- Dec 19, 2011
- 116
- 14
Tukiwa tunajiandaa kuingia katika mfumo wa digital hadi sasa sijapata jibu kipi ni bora kati ya kuwa na ving'amuzi vingi au bora nijiunge na Dstv. Maswali yangu sasa
1. Je nisubiri hadi tupate msimamo wa ving'amuzi vyenye uwezo wa kushika channel zote za hapa bongo?
2. Je nikinunua Dstv nitaweza kupata channel za hapa bongo? kama ndiyo ni channel zipi nitazipata?
3. Je kwa wale wanaokaa sehemu ambayo ving'amuzi havishiki, wenaza tumia ungo wa Dstv kupata channel za hapa bongo?
Nawasilisha.