DSTV VS STARTIMES kipi bora?

DSTV VS STARTIMES kipi bora?

Hii ni Fasihi ya Ray model, nadhani anamaanisha zaidi ya anachou-Ki-uliza hapa.
This is the Philosophy of Ray model.
I am sure the question still not yet respectively replied.
Is DSTV, Star Time, Equal ?
 
Kipi bora kukinunuwa?
Nimechoshwa na huu uchacho wa azam tv kisimbusi chao sikitaki na nimeamua kumpa mtu bure

Nataka ninunue king'amuzi ambacho hata mvua ikinyesha siteseki hawa azam washanichosha machannel yao hayana mvuto hata kidogo na sasa hivi kutulazimisha tuangalie news kwenye app mbona mtadata na "kuvisa" mwaka huu??

Nataka ninunue aidha dstv au startimes dish decoder sasa sijajua ni kipi bora kwa ubora wa picha na picha movies maana napenda movies kuliko mpira mimi sio mpenzi wa mpira hata kidogo labda huku nchini kidogo tyu na kombe la dunia

Kulipia sio tatizo nataka nijue ni kipi bora kati ya dstv na startimes dish ktk ubora wa picha na movies??

Hapo unauliza tofauti ya mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom