Kati ya kisimbusi cha Startimes na cha Dstv vya dish ipi ni bora

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
760
Kwa wenye uelewa na wa hivi visimbusi,nina mpango wa kununua kisimbusi kimojawapo kati ya Sartimes na Dstv kile cha kawaida(bei nafuu) nimechoshwa na Mediacom, na ni ipi kifurushi kikiisha inabaki na chaneli zipi za ndani,pia bei zake ingawa wengi wapenda Azam lakini bajeti hairuhusu inauzwa ghali.
 
kila kimoja hapo kina content inayowapa nguvu sokoni sasa ni wewe unapendelea kuangalia nini
 
Siku bajet ikiruhusu nunua Azam hiyo startimes ni takataka na DStv ni gharama sana vifurushi vyake

Hivi hiyo 'gharama sana' kwa DsTV huwa mnamaanisha bei gani?

Acheni kutishana, ndiyo maana kuna vifurushi unajipimia…. kifurushi cha chini DsTV ni TZS 9,900/- ambayo unapata channels nyingi tu kwa mtu wa hali ya chini zinamtosha.

Labda mnataka Premium Package?
 
Hiyo 9k unapata channel gan ya maana Sasa? Azam unalipia had 8k kma kigezo ni hyo elf 9
 
Hiyo 9k unapata channel gan ya maana Sasa? Azam unalipia had 8k kma kigezo ni hyo elf 9

Hoja yangu ni kupinga notion ya mtaani kuwa DsTV ni gharama, kwa hiyo 10k anapata channels za kumtosha kulingana na hali yake…. hapa tunaongelea mtu wa chini ambaye hata AzamTV analipa 8000/-.

Sasa, bei ya kununua kisimbuzi AzamTV ni 200k na DsTV ni 59k…. unaandika lakini?
 
Hoja yangu ni kupinga notion ya mtaani kuwa DsTV ni gharama, kwa hiyo 10k anapata channels za kumtosha kulingana na hali yake…. hapa tunaongelea mtu wa chini ambaye hata AzamTV analipa 8000/-.

Sasa, bei ya kununua kisimbuzi AzamTV ni 150k na DsTV ni 59k…. unaandika lakini?
Azam TV kwa Sasa Bei Ni 210k
 
Back
Top Bottom