Dstv offer zenu zinatuchanganya

Dstv offer zenu zinatuchanganya

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,807
Reaction score
129,672
Moja kutoka DSTV
Lipa kabla kifurushi chako hakijaisha utapata siku saba bure s1,2,5,6,7 kwa etc siku saba

Ingine from from Multichoice
Lipa kabla kifurushi chako ( compact) hakijaisha upate Compact Plus bure kwa siku 30.

Sasa hapo napata offer ipi?
Screenshot_20190516-173854.png
Screenshot_20190516-173839.png

Cc DStv Tanzania
 
Diesitivii wanaboa sana siku hizi!
Offer nyingi ni uongo mtupu
Kwenye kurudia movie ndo usiseme!!
Bora ulipie Netflix tu umalize mambo
 
Nadhani umekuwa ukinunua vifurushi tofauti tofauti that's why the messages keep changing. Huwa nalipia Compact na nilitumiwa message ya kulipa kabla wanipe Compact Plus, I paid and was able to watch UEFA semis.
Tangu nimeanza ni Compact tu sijawahi kubadili kifurushi. Hii ni mara ya pili wananichanhanya
 
Ofa za DStv hazieleweki nyingine zinaenda kimya kimya hawasemi. Binafsi kwa miezi 6 nimekua nalipia Compact Plus kumbe kuna offer wamenipa ya kuona channels za Premium ajabu hawakunitaarifu.
 
Ofa za DStv hazieleweki nyingine zinaenda kimya kimya hawasemi. Binafsi kwa miezi 6 nimekua nalipia Compact Plus kumbe kuna offer wamenipa ya kuona channels za Premium ajabu hawakunitaarifu.
Kwani si unatakiwa uzipate tu? Au walitakiwa wakutumie SMS?
 
Tangu nimeanza ni Compact tu sijawahi kubadili kifurushi. Hii ni mara ya pili wananichanhanya
Nakuunga mkono. Mie walinipa Compact plus mwezi mmoja, baada ya hapo ni hizo za siku 7 halafu wanasema nilipie compact plus wanipe premium mwezi mmoja.

Kuna wakati msg za gharama za packages zinabadilika. Compact wanasema Tsh 69k, mara Tsh 68,333 mara Tsh 65k, basi tabu tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom