Dstv offer zenu zinatuchanganya

Mimi mpaka naona wananizonga now.

1099886
 
Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa

Mnawezaje kuwalinganisha Dstv na Azam tv?Local channel ni nini?binafsi nilishawaomba dstv waifute TBC kwenye king'amuzi changu lakini wakaogoma....DSTV FEEL EVERY MOMENT!
 
Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
Channel za Azam inarudia rudia vipindi kila siku. Yaani hata raha ya kuangalia channel zao hamna maana ulichokiona usiku ndio utakachoona asubuhi. Ulichokiangalia juzi na jana ndio hicho hicho utakachoangalia na leo. Halafu katika local channels zinazoliliwa, ni channel zipi hizo zenye maudhui mazuri ya vipindi ukiacha Taarifa za habari?
 
Ni kweli kabisa hawa jamaa wanahitaji kurekebisha changamoto zinazolalamikiwa na siyo watu wao humu ndani kujitahidi kulazimisha kwamba mambo yako vizuri kumbe siyo, sababu hata channel zao nyingi kwa sasa zinarudia vipindi vile vile kwa muda mrefu sasa.
 
Jamani naombeni msasda jinsi ya kurudisha signal zimeshuka hadi 1%kwa pande zote strength na quality,nimewacheki Dstv customer care wamenambia nitafute mafundi walio jirani. Nimemcheki hewani aliyenifungia dish hapatikani
 
Jamani naombeni msasda jinsi ya kurudisha signal zimeshuka hadi 1%kwa pande zote strength na quality,nimewacheki Dstv customer care wamenambia nitafute mafundi walio jirani. Nimemcheki hewani aliyenifungia dish hapatikani
Hapo mpaka fundi aje. Wapo wa mtaani sijui wewe unakaa mitaa gani?
 
Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
You must be kidding
Watching dstv is like exploring the world

What is so special about watching azam?
 
Ukiwa na smart TV mkuu unaikuta kwenye menu then unafungua account unalipia kwa mwezi unakua unacheki mambo kibao zikiwemo latest movie drama TV shows nk
Netflix naikubali sana....napamba niipate niuze tv nilionayo nitafute smartone..ujinga ujinga tu dstv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom