DSTV: Msaada wa kuview local channels

DSTV: Msaada wa kuview local channels

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari za usiku wadau...

Jamani nimelipia kifurushi cha DSTV .... Cha ajabu sipati local channels, nikiangalia kwenye Channel grid hata namba za local channels hazipo mf. 291 (Star TV), 290 (TBC) n.k.

Nikibonyeza manually napata sms hii

"E37 You have selected an invalid channel number, please try again or select the channel you wish to view on channel grid by pressing any of the arrow keys on the remote"

Tatizo litakuwa wapi????
 
Nadhani unafahamu kuwa hakuna chanel ya bure DSTv kama ilivuo kwa ving'amuzi vingine. Natumia DSTv na sijakutana na hilo sakata kwani nalipia promptly.
 
Bonyeza kwenye remotu button ambayo imeandikwa tv,then select dstv afrca,zitafunguka hizo zingine
 
Nadhani unafahamu kuwa hakuna chanel ya bure DSTv kama ilivuo kwa ving'amuzi vingine. Natumia DSTv na sijakutana na hilo sakata kwani nalipia promptly.

Samahani mkuu, sidhani kama nimesema kuwa nahitaji channels za bure. Ndio maana nikasema "Nimelipia"
...

Sijui kama umeelewa post yangu?
 
Asante mkuu... Ngoja nijaribu!

Naimani umefanikiwa. Hili ndilo jibu sahihi ulilopewa na Jephta2003 hapa chini.

Kunawakati dogo aliwahinipotezea na nilirudisha kwa kufanya hivyo.

Tena si hivyo tu ni channel nyingi utapata kwa kuselect kama ilivyo hapo kwenye red na zinaingia automatically.

quote_icon.png
By Jephta2003

Bonyeza kwenye remotu button ambayo imeandikwa tv,then select dstv afrca,zitafunguka hizo zingine
 
Back
Top Bottom