DStv kuna haja ya kubadili namna ya kutumia kingamuzi chao

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,953
6,071
Katika kipindi hiki ambacho ligi nyingi za ulaya zimesimama kutokana na mlipuko wa Corona virus ni muda muafaka wa Dstv kujitathmini namna gani matumizi ya kingamuzi chao kiwe...
Binafsi nimelipia kingamuzi mwezi huu tar 1 kwa nia kubwa ya kuangalia ligi mbalimbali na michuano ya ulaya, lakini mlipuko wa Corona umesababisha ligi kusimama huku sisi pesa yetu imekwenda bure tuu, nitoe wito kwa DStv watufikirie wateja wao hususani mwezi huu na pia kubadili namna ya kutumia ikiwezekana iwe kama luku tuu, unaisha kadri unavyotumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...mie machale yalinijeza aisee..ilikata jumatano nikasema isiwe tabu ngoja nisikilizie mpka weeknd...wazo zuri wanatakiwa waangalie namna ya kufanya hapa....
 
Katika kipindi hiki ambacho ligi nyingi za ulaya zimesimama kutokana na mlipuko wa Corona virus ni muda muafaka wa Dstv kujitathmini namna gani matumizi ya kingamuzi chao kiwe...
Binafsi nimelipia kingamuzi mwezi huu tar 1 kwa nia kubwa ya kuangalia ligi mbalimbali na michuano ya ulaya, lakini mlipuko wa Corona umesababisha ligi kusimama huku sisi pesa yetu imekwenda bure tuu, nitoe wito kwa DStv watufikirie wateja wao hususani mwezi huu na pia kubadili namna ya kutumia ikiwezekana iwe kama luku tuu, unaisha kadri unavyotumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
wapigie wakubadilishie kifurushi wakuwekee chs 19 salio lako litabaki utatumia mwezi ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu naona wanatukosea Hawa Dstv ni zile packages zao za vifurushi .....me kwa Dstv my fav shows mostly ni sports! kuna channels hata sijawai kuangalia! sasa kwanin wasiwe wanauza kwa channels moja moja? kunijazia machaneli ya kinaijeria bila idhaa yangu na kunilipisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Dstv pekeyao mbona ni ving'amuzi vyote ndio ilivyo,labda kwa ulaya ndo wanayumia mfumo wa luku.
Cha kufanya wao hawana maana wote mnagawana hasara.Hata wao kama Dstv watapata hasara,kampuni za kubet zitapata hasara n.k.Ving'amuzi vyote vya sports vitapata hasara.Kwa hiyo hakuna namna.
Labda kama wanaweza watatoa wiki 1 free baada ya ligi kuisha.

Back
Top Bottom