Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

Hapa ulitupiga mchinga sound
Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D.

Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022.

Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala ya kutumia kadi kubwa za zamani hii itakuwa inatumia kadi ndogo saizi ya laini ya simu.

Pamoja na faida nyingine vifaa hizi vitakuwa na gharama ndogo, chini ya elfu 25,000.

Wakuu the future is here
pa
 
Dstv nadhani wanajidanganya wenyewe, hizo gharama za kuzalisha visimbuzi vipya ni kujidanganya, ushauri wa bure kama watapenda decoda uza 150,000/=
Epl weka 30,000/= tu
Halafu sikilizia soko ndani ya mwezi tu mitaa yote ina dishi na mapato pia yatazidi maradufu ......
No system cancellation dish zitakuwepo na antenna zitakuwepo kwa wanyonge, but ni muhimu kushusha vifurushi,
 
Back
Top Bottom