DSTV E 16 Error Reset

DSTV E 16 Error Reset

akili akili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,767
Reaction score
1,157
Wadau nahitaji msaada namna ya kuondoa error ya E 16 kwa DSTV. Nimelipia muda si mrefu ila bado sijapata service. Najua kuna namna ya kutuma msg kwenda namba fulani ambayo nimeisahau. Mwenye kujua jamani please help. Brazuca time.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Andika neno RESET acha nafasi ingiza smartcard namba yako kisha tuma kwwenda namba 15727 hakikisha una salio la kawaida si vifurushi
 
Asante, nishatuma na nimepata hii msg "Dear Subscriber, the reauth process is in progress."..ila bado naona kimya.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Asante, nishatuma na nimepata hii msg "Dear Subscriber, the reauth process is in progress."..ila bado naona kimya.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
itakuja tu..mara nyingine huwa inatumia mda kidogo au unaweza ukazima decoder then unawasha au ukaenda kwa website yao kuna sehem ya selfservice unaweza ku reset ..ILA kama umelipia na kubadili package mfano mwanzo ulikuwa unatumia pakage ya compact then ukalipia cha chini yake hapo mpaka uwasiliane nao wakubadilishie wenyewe..
 
Make sure decoder iko on na ipo kwenye namba 200 before hujatuma message ya kureset, na la muhimu kabisa make sure umelipia kiwango halisi kinachohitajika kulingana na malipo ya wakati husika
 
Hii kitu inakera sana, jana nimelazimika mimi na familia yangu kupiga hodi kwa jirani kuangalia mpira ilhali nimelipia full package tangu juzi lakini haipatikani. Namba zao hazipatikani zote tangu juzi na jana, leo nimehangaika pia nimechoka ngoma bila bila!! Najutia hela yangu, bora ningenywea tu lakini si upuuzi nilioufanya!! Kama wataniconnect WC ikiisha nauza kama chuma chakavu wapuuzi wakubwa, wananikosesha raha sana.
 
Make sure decoder iko on na ipo kwenye namba 200 before hujatuma message ya kureset, na la muhimu kabisa make sure umelipia kiwango halisi kinachohitajika kulingana na malipo ya wakati husika

Nashukuru nishasolve tatizo, kuna mdau wangu yupo DSTV amenisaidia remotely.

Back
Top Bottom