Dstv decorder vs eurostar dish

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Wana jf nataka kununua dstv kuna jamaa yangu aliniambia ninunue decoder ya dstv na dish nitumie la euro star au jingine ila nisinunue complete dstv. Akiniambia kuwa inakuwa ni bomba lakini pia hata bei yake inakuwa chini. Mnasemaje wanajf.
 
Unasemaje? Hebu lete vitu vinavyoeleweka. Mimi nataka kuondoka DSTv maana naona imekuwa too much hasa katika hali hii ya uchumi dhaifu.
 
DSTV waliwanunua GTV ili waendeleze umonopoly.
Yaani kuwa na DSTV imekuwa kama anasa jamani khaaaaaaaaa
Yah nunua euro star ni zuri ila nayo kuna feki kuwa makini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom